Sales Manager at Beauty Group Tanzania March 2026

Jobs at Beauty Group Tanzania, Jobs at Beauty Group Limited, Ajira Mpya Beauty Group Limited, Beauty Group Limited Jobs 2026, Nafasi za Kazi Beauty Group Limited, Nafasi za Kazi Beauty Group Tanzania, Ajira Mpya 2026, AJIRA TANZANIA 2026, AjiraLeo Tanzania, JOBS TANZANIA, Jobs 2026.

BEAUTY GROUP COMPANY
🌐 www.beautygroup.co.tz
TANGAZO LA NAFASI YA KAZI
Sales Manager

Sales Manager at Beauty Group Tanzania March 2026

Position: Sales Manager
Salary: TSH 1,000,000 – 1,500,000

Duties & Responsibilities:
a) Kusimamia mauzo ya kampuni kwa kuandaa mipango ya biashara inayojumuisha udhibiti wa mauzo, mapato na gharama.
b) Kufikia malengo ya mauzo yaliopangwa.
c) Kuweka malengo ya mauzo kwa timu ya masoko na mauzo.
d) Kufuatilia utekelezaji wa malengo ya mauzo na kuripoti matokeo inapohitajika.
e) Kusimamia shughuli na utendaji kazi wa wafanyakazi wa masoko na mauzo.
f) Kutoa mafunzo kwa wafanyakazi wa masoko na mauzo, watunza stoo na watunza fedha.
g) Kukuza timu ya mauzo kupitia motisha, ushauri na kuongeza maarifa na ujuzi.
h) Kukuza kampuni na bidhaa zake sokoni.

i) Kuelewa wateja bora wa kampuni na uhusiano wao na bidhaa za kampuni.
j) Kuhakikisha upatikanaji na usimamizi wa wateja wapya.
k) Kuandaa mipango ya mauzo ya muda mfupi na mrefu kwa lengo la kufikia malengo yaliyowekwa.
l) Kutimiza malengo ya mapato mara kwa mara kulingana na malengo ya kampuni.
m) Kutafuta kwa bidii fursa za kuongeza mauzo na kuuza zaidi kwa wateja waliopo.
n) Kutambua mahitaji ya wateja na kutoa taarifa za kuboresha bidhaa kulingana na maoni na mrejesho wa wateja.
Read Also:

Sifa za Mwombaji:
• Uzoefu wa kazi: Miaka 1–2 katika mauzo au nafasi husika
• Elimu: Bachelor degree in Marketing, Procurement, au Business Administration
• Mahali pa kazi: Dar es Salaam
• Mahali pa Usaili: Dar es Salaam

Namna ya Kuomba:
Tuma CV kwa WhatsApp: 📱 0794 672 702
✍️ Tafadhali taja nafasi unayoomba (Sales Manager) wakati wa kutuma CV.

Go to our Homepage To Get Relevant Information. Jobs at Beauty Group Tanzania, Jobs at Beauty Group Limited, Ajira Mpya Beauty Group Limited, Beauty Group Limited Jobs 2026, Nafasi za Kazi Beauty Group Limited, Nafasi za Kazi Beauty Group Tanzania, Ajira Mpya 2026, AJIRA TANZANIA 2026, AjiraLeo Tanzania, JOBS TANZANIA, Jobs 2026.

CHECK LATEST JOBS 2026 HERE!

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*