Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili wa Kazi ya Muda Mfupi Sabasaba (UCC)

Kitengo cha Kompyuta cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UCC) kinapenda kuchukua fursa hii kukuhabarisha kuwa kutakuwa na usaili utakaofanyika siku ya Jumamosi tarehe 08/6/2019 saa moja (1) kamili Asubuhi, makao makuu ya UCC, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kampasi ya Mwalimu J.K. Nyerere kwa ajili ya kazi ya muda mfupi uliyoomba.

Hivyo basi, kupitia tangazo hili, unaombwa kufika siku hiyo pasipo kukosa kulingana na orodha ya majina yaliorodheshwa hapa chini kupitia tovuti hii ya UCC (www.ucc.co.tz).

Zingatia kuja na;
Kitambulisho chochote halali

KUSOMA MAJINA HAYO PAKUA PDF HAPO CHINI
KUITWA-KWENYE-USAILI-WA-KAZI-YA-MUDA-MFUPI-UCCDownload