JWTZ: Ajira Mpya JWTZ 2026 | Nafasi Mpya za Kujiunga JWTZ | Ajira Mpya Jeshi la Wananchi Tanzania

Ajira Mpya JWTZ 2026 | Nafasi Mpya za Kujiunga JWTZ | Ajira Mpya Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) JWTZ, Ajira Mpya JWTZ, Ajira Mpya JWTZ 2026, Nafasi za Kujiunga JWTZ, Nafasi za Kujiunga JWTZ 2026, Ajira Mpya Jeshi la Wananchi (JWTZ), Ajira Mpya Jeshi la Wananchi (JWTZ) 2026, Jeshi La Wananchi Tanzania (JWTZ), Ajira Jeshi La Wananchi Tanzania (JWTZ), Ajira Mpya Jeshi La Wananchi Tanzania (JWTZ), Nafasi Mpya za Ajira JWTZ, Nafasi Mpya za Ajira JWTZ 2026, Nafasi Mpya za Ajira JWTZ April 2026, Nafasi Mpya za Kazi Jeshi La Wananchi Tanzania (JWTZ), Nafasi Mpya za Kazi JWTZ, Nafasi Mpya za Ajira JWTZ, Ajira Mpya JWTZ August 2026, Nafasi Mpya za Kujiunga JWTZ, Ajira Mpya Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) 2026, Ajira Mpya JWTZ April 2026.
JWTZ, Ajira Mpya JWTZ 2026, Nafasi Mpya za Kujiunga JWTZ, Ajira Mpya Jeshi la Wananchi Tanzania
JWTZ

JWTZ: Ajira Mpya JWTZ | Nafasi Mpya za Kujiunga JWTZ | Ajira Mpya Jeshi la Wananchi (JWTZ) | Apply Now

💥UNASUBIRI NINI? FOLLOW US ON INSTAGRAM. CLICK HERE!💥

💥JWTZ: Fahamu Vyeo na Mishahara ya Wanajeshi (JWTZ) 2026💥

💥Mifano Barua ya Maombi ya Kazi JWTZ – Application Letter 2026💥

Ajira Mpya JWTZ 2026 | Nafasi Mpya za Kujiunga JWTZ | Ajira Mpya Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ)

JWTZ, Ajira Mpya JWTZ, Ajira Mpya JWTZ 2026, Nafasi za Kujiunga JWTZ, Nafasi za Kujiunga JWTZ 2026, Ajira Mpya Jeshi la Wananchi (JWTZ), Ajira Mpya Jeshi la Wananchi (JWTZ) 2026, Jeshi La Wananchi Tanzania (JWTZ), Ajira Jeshi La Wananchi Tanzania (JWTZ), Ajira Mpya Jeshi La Wananchi Tanzania (JWTZ), Nafasi Mpya za Ajira JWTZ, Nafasi Mpya za Ajira JWTZ 2026, Nafasi Mpya za Ajira JWTZ April 2026, Nafasi Mpya za Kazi Jeshi La Wananchi Tanzania (JWTZ), Nafasi Mpya za Kazi JWTZ, Nafasi Mpya za Ajira JWTZ, Ajira Mpya JWTZ August 2026, Nafasi Mpya za Kujiunga JWTZ, Ajira Mpya Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) 2026, Ajira Mpya JWTZ April 2026.

JWTZ: Nafasi za Kujiunga na Jeshi 2026 – Nafasi za Kuandikishwa Jeshini JWTZ Aprili 2026 (TPDF Recruitment)

TANGAZO LA NAFASI ZA KUANDIKISHWA JESHINI

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linatangaza nafasi za kuandikishwa Jeshini kwa vijana wa Kitanzania wenye elimu kuanzia elimu ya Sekondari hadi elimu ya Juu. Aidha, uandikishaji utahusisha vijana wa Kitanzania wenye Taaluma Adimu.
2.Wataalamu hao watakaoandikishwa Jeshini watapatiwa mafunzo mbalimbali muhimu ya Kijeshi na mafunzo ya kuwaendeleza katika taaluma zao.
Read Also:

SIFA ZA MWOMBAJI
3.Vijana wa Kitanzania wenye nia ya kuandikishwa Jeshi wanatakiwa kuwa na sifa zifuatazo:-
a. Awe raia wa Tanzania mwenye kitambulisho cha Taifa.
b Awe na afya nzuri na akili timamu,
c.Mwenye tabia na nidhamu nzuri, hajapatikana na hatia ya makosa ya jinai mahakamani na kufungwa.
d.Awe na cheti halisi cha kuzaliwa (Original Birth Certificate), vyeti vya Shule na vyeti vya Taaluma.
e.Awe hajatumikia Jeshi la Polisi, Magereza, Chuo cha Mafunzo au Kikosi cha Kuzuia Magendo.
f.Awe amehitimu mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa kwa Mkataba wa kujitolea au Mujibu wa Sheria na kutunukiwa cheti.
g.Kwa vijana wenye elimu ya Kidato cha Nne na Kidato cha Sita wawe na umri usiozidi miaka 25, Vijana wenye elimu ya Juu umri usiozidi miaka 28.

UTARATIBU WA KUTUMA MAOMBI KWA MAKUNDI YOTE MAWILI
4. Maombi yote yaandikwe kwa mkono na yawasilishwe Makao
Makuu ya Jeshi Dodoma kuanzia tarehe 15th Aprili, 2026 hadi tarahe 28 Aprili, 2026 yakiwa na viambatisho vifuatavyo:-
a.Nakala ya Kitambulisho cha Taifa au nambari ya NIDA.
b.Nakala ya cheti cha kuzaliwa, vyeti vya Shule na Chuo.
c.Nakala ya cheti cha JKT kwa waombaji waliomaliza mkataba wa kujitolea.
d.Nambari ya simu ya mkononi ya mwombaji.

MAOMBI YATUMWE KWA ANUANI IFUATAYO:

Mkuu wa Utumishi Jeshini,
Makao Makuu ya Jeshi,
Sanduku la Posta 194,
DODOMA, Tanzania

[PDF File] Ajira Mpya JWTZ April 2026 | Nafasi Mpya za Kujiunga JWTZ | Ajira Mpya Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ)

The Following below is  the official Jobs Announcement From JWTZ About JWTZ new employments released today 15th April, 2026. You can view full job advert written in Swahili by downloading the PDF file attached below…..: BONYEZA HAPA CHINI KUSOMA MAELEZO KAMILI NA NAMNA YA KUTUMA MAOMBI…

Released Date: 15th April, 2026.
The deadline for submitting the application is 28th April, 2026.
DOWNLOAD PDF FILE HERE!

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*