Nafasi 27 za Kazi Wahudumu wa Maduka – Mlimani City & Posta

Wahudumu wa Maduka, Mlimani City, ajira mpya tanzania 2026, jobs tanzania 2026, ajira za kuuza maduka

NAFASI ZA KAZI – WAHUDUMU WA MADUKA

Mwajiri: GLATO COMPANY LIMITED
Nafasi:
Wahudumu wa Maduka
Idadi ya Nafasi: 27
Jinsia: Wanawake pekee
Umri: Miaka 18–30
Elimu: Kuanzia Kidato cha Nne (Form Four)
Mshahara: TSh 500,000/= kwa mwezi
Maeneo ya Kazi: Mlimani City & Restaurant Posta
Njia ya Maombi: WhatsApp pekee
Read Also:

Sifa za Mwombaji

Mwombaji anatakiwa:

  • Awe mwanamke mwenye umri wa miaka 18–30.
  • Awe na elimu ya kuanzia Kidato cha Nne (Form Four).
  • Awe mwenye nidhamu, uaminifu na kujituma kazini.
  • Awe na uwezo mzuri wa kuwasiliana na wateja.
  • Awe mchangamfu, msafi na mwenye muonekano mzuri.
  • Awe tayari kufanya kazi kwa muda unaohitajika.
  • Awe na uwezo wa kufanya kazi kwa ushirikiano na timu.
  • Uzoefu wa kazi katika huduma kwa wateja, madukani au restaurant utakuwa faida.

Jinsi ya Kutuma Maombi

Waombaji wanaotimiza sifa wanatakiwa kutuma maombi yao kupitia WhatsApp pekee kwa namba:

+255 747 065 803

⚠️ Nafasi ni 27 tu. Tuma maombi yako mapema!

Go to our Homepage To Get Relevant Information. ajira mpya tanzania 2026, jobs tanzania 2026, ajira za kuuza maduka

CHECK LATEST JOBS 2026 HERE!

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*